Punde baada ya kujiunga na timu yetu, Kocha Ricardo Ferreria alikabidhiwa jezi yetu ya rangi ya alizeti inayowakilisha zao kuu la Singida la Alizeti.