Golikipa wetu Beno Kakolanya ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba kwa udhamini wa Jet & Sons. Beno amejipatia tuzo sambamba na kitita cha shilingi milioni moja za Kitanzania.